
Wanafunzi Serengeti walilia mabweni | Mwananchi
Serengeti. Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule za sekondari wilayani Serengeti wameiomba Serikali na jamii kuwaondolea vikwazo vinavyosababisha washindwe kutimiza malengo yao hasa ya kielimu, ikiwemo ukosefu wa mabweni katika shule za Serikali. Wanafunzi hao wamesema licha ya Serikali kujitahidi kuboresha mazingira ya elimu bado wamekuwa wakikumbana na changamoto mbalimbali ikiwepo kutembea umbali mrefu…