
12 watoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’
Dodoma. Kesi ya jinai ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inaendelea leo Jumatano Septemba 4, 2024. Tayari mashahidi 12 wa upande wa Jamhuri wameshatoa ushahidi katika kesi hiyo inayosikilizwa faragha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari jana Septemba…