
WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAONYWA KUJIHUSISHA NA RUSHWA.
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewataka wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kujiepusha na vitendo vya Rushwa wakati wanapotekeleza majukumu yao kwenye kipindi chote cha zoezi la Uchaguzi kwani Rushwa ni adui wa haki na hudumaza maendeleo kwenye jamii. Kasilda amezungumza hayo…