
Ripoti ya CAG yafichua mpya Tanzania kukabiliana na maafa
Dar es Salaam. Halmashauri nchini Tanzania hazijajipanga kukabiliana na maafa, hususan mafuriko, kutokana na kutotenga bajeti maalumu kwa ajili ya shughuli hizo muhimu. Hayo yamebainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, katika ripoti yake aliyoangazia utekelezaji wa ukaguzi kuhusu usimamizi wa mafuriko, iliyofanywa kwenye halmashauri sita kwa miaka ya…