Machupa atoa neno Kariakoo Dabi
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu hizo kongwe. Machupa ambaye aliichezea Simba kuanzia 1999-2011 amesema kwa uzoefu wake wa kucheza dabi nyingi, matokeo ya mechi hiyo yanakuwa ya kushangaza tofauti na matarajio ya wengi na ndio…