Rais Assad wa Syria, familia wapewa hifadhi Russia

Moscow. Rais wa Syria, Bashar Al-Assad, aliyepinduliwa jana Jumapili Desemba 8, 2024 pamoja na familia yake wamewasili nchini Russia walipopewa hifadhi. Mashirika ya habari ya Russia yameripoti yakinukuu chanzo cha Ikulu ya Kremlin: “Rais Assad wa Syria amewasili Moscow. Russia imewapa (yeye na familia yake) hifadhi kwa misingi ya kibinadamu.” Assad amepinduliwa baada ya waasi…

Read More

Uzoefu waiponza Cosmopolitan | Mwanaspoti

KICHAPO cha mabao 2-0, ilichokipata Cosmopolitan wiki iliyopita dhidi ya Mtibwa Sugar, kimemfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Mohamed Kijuso kudai sababu zilizowanyima ushindi ni wachezaji kukosa uzoefu tofauti na washindani wao. Timu hiyo imekumbana na kichapo hicho cha kwanza msimu huu, baada ya mchezo wa ufunguzi kutoka sare ya bao 1-1, dhidi ya African…

Read More