
ELIMU YA BIMA YATOLEWA KWA TAKUKURU KANDA YA ZIWA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania kupitia Kanda ya Ziwa imetoa elimu ya bima kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mwanza ambapo jumla ya watumishi wapatao 26 wameshiriki mafunzo hayo. Mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwemo Majukumu ya TIRA, Dhana ya Bima, Bima za Magari, Taratibu za madai, Umuhimu wa kuwa wakala wa…