Hatua muhimu ya kujenga uaminifu katika ushirikiano wa ulimwengu – maswala ya ulimwengu

Wanaharakati, wengi kutoka Global South, wanaohudhuria mazungumzo huko Uhispania, wanatoa wito kwa uongozi mkubwa na kujitolea kutoka kwa mataifa tajiri kusaidia kushughulikia usawa wa muundo wa muda mrefu. 4th Mkutano wa Kimataifa juu ya Ufadhili wa Maendeleo (FFD4) hubeba uzito mkubwa wa mfano, ulioonyeshwa kwenye Vipaumbele vilivyokubaliwa vya kujitolea kwa Sevilla. Miji ya United na…

Read More

Okoyo siyo soka tu hata gitaa freshi

KIUNGO wa kati wa KMC, Deusdedity Cosmas Okoyo amesema nje na kucheza soka ni mtaalamu wa kupiga gitaa linalomsaidia kumpa utulivu anapopata muda wa kupumzika baada ya mechi. Okoyo alisema endapo ndoto ya soka isingetimia, basi angekuwa mwanamuziki kwani ni kitu alichokuwa anakipenda tangu utotoni. “Zamani nilikuwa napenda kuimba sana, nikajifunza kupiga gitaa ambalo hadi…

Read More

Aunganishwa na kaka yake kesi ya kughushi wosia

Dar es Salaam. Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya kughushi wasio wa mama yake. Nargis anadaiwa kughushi wosia wa marehemu mama yake mzazi kisha kujipatia nyumba kinyume cha sheria. Mshtakiwa huyo amefikishwa  mahakamani hapo leo, Alhamisi Februari 6, 2025 na kusomewa…

Read More

Watetezi haki za binadamu wahimiza ulinzi kwa watoto

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana mashirika wanachama ambao ni watetezi haki za watoto umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto kwa masilahi ya taifa la leo na la kesho. Septemba 14,2024 watetezi hao wameungana katika matembezi ya amani…

Read More

Gharama kubwa za masomo chanzo upungufu wa marubani

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi, amesema Tanzania inakabiliwa na uhaba wa marubani zaidi ya 150, licha ya juhudi zinazoendelea za kuongeza idadi yao nchini. Amesema changamoto kubwa iliyopo ni gharama kubwa ya mafunzo, ambapo kumwandaa rubani mmoja hadi kufikia kiwango cha kuendesha ndege kunagharimu takriban…

Read More

Athari za mzazi kupuuza kipaji cha mwanawe

Katika jamii nyingi, wazazi huwa na matarajio makubwa juu ya maisha ya watoto wao. Ni jambo la kawaida mzazi kutamani mtoto wake awe daktari, mwanasheria, au mhandisi, bila kujali kama mtoto huyo ana kipaji au mapenzi ya dhati kwa taaluma hizo. Hali hii imekuwa chanzo cha migogoro ya ndani kwa watoto wengi, na mara nyingi…

Read More

NAO WAMETIMKA: Viongozi 58 wajivua uanachama Chadema Kilimanjaro, wamkumbuka Ndesamburo 

Moshi. Viongozi  58 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa, Gervas Mgonja wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho leo Mei 11, 2025 kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho. Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha…

Read More