
Rais Biden alaani shambulio la Trump
Washington. Rais Joe Biden amelaani jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani Donald Trump kwenye mkutano wa hadhara, akisema kuwa hakuna nafasi ya ghasia za kisiasa nchini Marekani “Huu ni ugonjwa,” amesema. “Hatuwezi kuruhusu hili litokee. Hatuwezi kuunga mkono hili.” Biden amesema alijaribu kumpigia Trump, lakini alikuwa na madaktari wake. “Inaonekana anaendelea vizuri,” amesema….