Aliyejinyonga akidaiwa kumbaka mjukuu wake, aacha ujumbe mke na wanawe wasimzike
Moshi. Babu anayetuhumiwa kumbaka mjukuu wake wa miaka minane na kisha kujiua kwa kujinyonga baada ya mke wake kumfuma, aliacha ujumbe kwa mkewe huyo, Philipina Olomi pamoja na watoto wake sita wasimuwekee udongo kwenye kaburi lake siku ya maziko yake.Mzee huyo ambaye ni mkazi wa kijiji cha Kifuni, kata ya kibosho Magharibi, Wenseslaus Ulomi (50)…