
AGGY BABY AZINDUA RASMI EP “FIRST LOVE”
Msanii maarufu wa muziki, mwigizaji, na mwanaharakati wa kijamii kutoka Tanzania, Agness Suleiman, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Aggy Baby, amezindua rasmi EP (Album) yake ya kwanza iitwayo “First Love”. EP hii inaonyesha mchanganyiko wa mitindo ya muziki kama Bongo Fleva, Amapiano na Kompa, ikiwakilisha sauti mpya ya muziki wa Afrika Mashariki. EP…