
Minziro aibukia Mwadui FC | Mwanaspoti
BAADA ya kuachana na Kagera Sugar, Fredy Felix ‘Minziro’ ameibukia Mwadui FC inayojiandaa na Ligi ya Champpionship msimu huu, huku akipewa kibarua cha kuunda kikosi cha timu hiyo kitakacholeta ushindani na kupanda Ligi Kuu. Minziro aliachana na Kagera Sugar baada ya mkataba wake kuisha msimu uliopita nafasi yake ikichukuliwa na Mganda, Paul Nkata, ambapo ameingia…