Kaa mkao wa kula na Meridianbet Jumamosi ya leo

  Wikendi ya kutusua na Meridianbet hatimaye imefika sasa, unangoja nini suka jamvi lako kuaniza kule  Uingereza, Hispania, Italia na kwingine kwingi utimize ndoto zako hapa. Ligi pendwa Duniani EPL leo kuna mechi kibao za pesa Aston Villa baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo atamualika Wolves ambaye hajashinda mechi yoyote hadi sasa. Unai Emery…

Read More

Wawili kizimbani kwa kumiliki mijusi 226

Na Karama Kenyunko Michuzi Tv WAFANYABIASHARA wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi mbili za uhujumu uchumi kwa kukutwa na nyara za serikali ambazo ni Mijusi 226 Imedaiwa kati ya hao Mijusi 13 ni wakubwa na Mijusi aina Coud Grecko 213 walio hai. Katika hati…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Geita nayo imeshuka na uwanja wake

MSIMU wa 2020/2021, Gwambina FC ya Mwanza ilishuka daraja ikiwa ndio kwanza imeshiriki Ligi Kuu kwa msimu mmoja baada ya kumaliza ikiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi iliyokuwa na timu 18. Kulikuwa na matumaini makubwa kwa timu hiyo ambayo maskani yake ilikuwa kule Misungwi, Mwanza angalau ingedumu Ligi Kuu kwa misimu kadhaa lakini…

Read More

CRDB yaja na hatifungani inayokusanya fedha kuwezesha biashara

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imezindua CRDB Al Barakah Sukuk, hatifungani itakayokusanya fedha zitakazowezesha biashara bila riba nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki. Hatifungani hiyo, inayofuata misingi ya Kiislamu, inalenga kukusanya Sh30 bilioni na Dola milioni 5 za Marekani (Sh12.7 bilioni), huku kukiwa na uwezekano wa kuongezeka hadi kufikia Sh40 bilioni na Dola…

Read More

Mabosi Simba wamjadili Camara | Mwanaspoti

MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba na hata viongozi. Wakati msimu wa 2024/25 unaanza Simba haikuwa na malengo makubwa, ikitembea na kauli kwamba inajenga timu mpya kwa ajili ya kuja kuitumia kutikisa Bara na Afrika miaka michache…

Read More

Idara ya Ujasusi yaifelisha serikali ya Kenya – DW – 26.06.2024

Naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua amemtolea wito mkuu wa intelijensia nchini mwake Nurdin Haji ajiuzulu na awajibishwe kutokana na maafa yaliyotokea nchini Kenya yaliyofungamana na maandamano ya kupinga muswada wa fedha wa mwaka 2024. Kulingana na Gachagua idara ya ujasusi nchini Kenya haikumpa rais ushauri muafaka kwamba Wakenya hawakuutaka mswada huo wa fedha. Soma pia: Ruto auondoa…

Read More

Kwa nini G20 lazima iwe katikati ya wanawake, watoto na vijana katika ajenda ya UHC – maswala ya ulimwengu

Rajat Khosla Maoni na Rajat Khosla (Geneva) Ijumaa, Aprili 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari GENEVA, Aprili 25 (IPS) – Kama kikundi cha wafanyikazi wa afya cha G20 kilivyokusanyika katika KwaZulu -Natal chini ya urais wa Afrika Kusini mapema mwaka huu, swali kuu lilifanana na watu wengi: tunawezaje kuharakisha chanjo ya afya ya ulimwengu…

Read More