
KenGold, Kagera Sugar vita nzito Bara
LIGI Kuu Bara inaendelea kupigwa tena leo kwa michezo mitatu katika viwanja na mikoa mbalimbali na itaanzia jijini Mbeya na Dar es Salaam kwa mechi za 10:00 jioni, huku saa 1:00 usiku ikichezwa mchezo mmoja makao makuu ya nchi Dodoma. Kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, KenGold iliyotoka sare ya bao 1-1, ugenini mechi ya mwisho…