
Mambo yanayomsubiri Lissu Chadema | Mwananchi
Dar es Salaam. Siku tatu tangu Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wadau wa siasa wametaja mambo manne anayopaswa kuyasimamia kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, ikiwemo upatikanaji wa Tume huru ya uchaguzi kabla ya kariba ambayo upatikanaji wake ni mlolongo mrefu. Suala lingine wanaloshauri ni kuwaunganisha wanachama, kuvutia…