
Dodoma kimewaka, CCM wanajambo lao
Dodoma. Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Viongozi wa chama na Serikali, wanachama, makada na mashabiki wa CCM wapo Dodoma kushuhudia pamoja…