
Matokeo ya kidato cha pili, darasa la nne 2024 haya hapa
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili, takwimu zikionyesha kwa darasa la nne wasichana wamefaulu zaidi ikilinganishwa na wavulana. Kwa kidato cha pili wavulana ndio wameongoza. Matokeo yametangazwa leo Januari 4, 2025 na Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk…