
UIMARISHAJI MPAKA NI ISHARA YA UJIRANI MWEMA-RC ANDENGENYE
Na Munir Shemweta, WANMM KIGOMA Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amesema uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya Tanzania na Burundi ni ishara ya ujirani mwema na undugu kati ya serikali na wananchi. ‘’Tunapaswa kusimamia uimarishaji mpaka baina ya nchi zetu ili kudumisha ushirikiano mwema na undugu’’ amesema Andengenye Andengeye amesema hayo leo tarehe…