
Jaji Mkuu akemea watuhumiwa kunyimwa dhamana
Dodoma. Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amekemea tabia ya baadhi ya mahakimu kuwanyima dhamana watuhumiwa ambao kesi zao zinadhaminika akisema kitendo hicho ni kiashiria cha kutaka rushwa. Jaji Masaju amesema kesi yoyote ambayo inaangukia katika kifungu cha dhamana, ni muhimu watuhumiwa wakapewa siku hiyohiyo ili kukwepa msongamano magerezani na ataanza kulifuatilia jambo hilo mwenyewe….