ABSA YAZINDUA MKOPO MPYA WA MALIi ZA KIBIASHARA,SERIKALI YAPONGEZA JITIHADA
Benki ya Absa Tanzania imezindua rasmi huduma mpya ya kifedha inayojulikana kama Mkopo wa Mali za Kibiashara (Commercial Asset Finance – CAF), hatua ambayo imetajwa na Serikali kuwa kichocheo kipya cha maendeleo ya biashara na uchumi wa nchi. Uzinduzi wa huduma hiyo umefanyika Aprili 4, 2025 jijini Dar es Salaam, ukihudhuriwa na wadau mbalimbali wa…