
Kardinali Rugambwa ahimiza umoja, mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu
Dodoma. Watanzania wametakiwa kudumisha amani na upendo hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kwani Taifa linahitaji umoja na mshikamano zaidi kuliko wakati mwingine. Wito huo umetolewa Aprili 17, 2025 na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa wakati akiongoza ibada ya Ekaristi Takatifu iliyofanyika Kanisa Kuu la Jimbo Kuu la…