
ACT-Wazalendo wataka mabadiliko Jeshi la Polisi
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai ya kubadilisha mfumo wa Jeshi la Polisi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Chama hicho kimetoa kauli hiyo kutokana na ilichodai kuendelea kuwapo matamshi kutoka kwa polisi dhidi ya demokrasia nchini. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari…