Wasanii wamiminika JKCI ofa ya Rais Samia kupima moyo

  WASANII ambao wameendelea kuchangamkia fursa ya kupima moyo bure katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan wamempongeza Rais kwa kuwapa fursa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Akizungumza  wakati wa uchunguzi wa moyo kwa wasanii hao jana, Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dk. Peter Kisenge…

Read More

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA GREAT RUAHA MARATHON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya  hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024.  Mbio hizo zililenga kukuza utalii  na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 06, 2024 ameshiriki katika mbio…

Read More