
Kapama, Gustavo watua Fountain Gate
KLABU ya Fountain Gate iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa viungo Nassor Kapama kutoka Kagera Sugar na Daniel Joram ‘Gustavo’ kutokea Pamba, ili kuongezea nguvu katika timu hiyo yenye makazi yake Wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kapama aliyewahi kutamba na timu mbalimbali zikiwemo za Mtibwa Sugar na Simba, tayari amekuwa na mazungumzo…