
Ujenzi wa daraja la J.P Magufuli mbioni kukamilika, bado mita 2 daraja kuunganishwa: Bashungwa
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara – Sengerema – Geita katika Ziwa Victoria ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja lote liweze kuunganishwa. Ameeleza hayo leo tarehe 17…