
Majaliwa atoa maagizo nane kwa wizara saba kushughulikia lishe
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza wizara saba kuhakikisha kila mojawapo inakamilisha majukumu yake katika kushughulikia afua za lishe ili kuondokana na changamoto zilizopo eneo hilo. Majaliwa ametoa maagizo hayo baada ya kuzindua ripoti ya utafiti uliofanyika nchini ukiangazia ‘Gharama za Utapiamlo Katika Pato la Taifa’. Ripoti hiyo imeangazia gharama za…