
Zitto: Mzee Sarungi asingekubali kuahirisha mechi ya Yanga, Simba
Dar es Salam. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama Mzee Philimon Sarungi angekuwa hai, angekemea kwa ukali uamuzi wa kuahirisha mechi ya Dabi kati ya Yanga na Simba iliyokuwa ichezwe Jumamosi Machi 8, katika uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam, akisisitiza uamuzi huo haukufaa kwa masilahi ya ligi ya…