Mambo matatu ya kitasa kipya Yanga
Kuna mambo yataanza kuonekana msimu ujao pale Jangwani, ambapo mastaa kibao wamesajili na kuna dalili kwamba vita ya namba, lakini namna shoo za uwanjani zitakavyokuwa. Lakini, unaposoka hapa elewa kwamba ndani ya kikosi cha Yanga kuna nyota wawili wanaounda ule ukuta wa chuma…