FANYENI TAFITI, TUMIENI TAKWIMU SAHIHI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wahakikishe kila wakati wanafanya utafiti na kupata takwimu sahihi. “Maofisa Mawasiliano wote jengeni utamaduni wa kufanya tafiti, kupata takwimu sahihi kabla kuzisambaza kwa wananchi na kuhuisha taarifa za kisekta kwenye tovuti,” amesema. Ametoa wito huo leo…