Lushoto yaendesha mafunzo ya Chanjo ya Saratani ya Shingo ya Kizazi
Na Mwandishi Wetu ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa kampeni ya Chanjo ya Saratani ya Shingo ya Kizazi, Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto kupitia Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Idara za Elimu Sekondari na Elimu Msingi na Awali imeendesha mafunzo kwa walimu na wahudumu wa afya katika Halmashauri hiyo. Mafunzo…