
Algeria yachekelea kucheza robo Zanzibar
KOCHA wa timu ya taifa ya wachezaji wa ndani wa Algeria, Madjid Bougherra, amesema safari za mashindano ya CHAN yanayoandaliwa kwa mara ya kwanza na Tanzania, Kenya na Uganda hayajawa changamoto kwao, bali yamekuwa fursa kwa wachezaji. Baada ya kupata sare tasa dhidi ya Niger katika Uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, matokeo yaliyowapeleka robo fainali,…