Raia wa Ukraine adaiwa kujinyonga chumbani kwake Musoma
Musoma. Raia wa Ukraine, Ihor Hladkyi (48) amekutwa amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mtu huyo ambaye alikuwa anafanya kazi katika mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na kampuni ya Polygold, uliopo katika eneo la Kigera Etuma wilayani Musoma, anadaiwa kujinyonga Januari 23, 2025, saa 2 asubuhi. Akizungumza…