SERIKALI YABAINISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUZALISHA BIDHAA BORA – MWANAHARAKATI MZALENDO

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biasha, Exaud Kigahe amebainisha mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalum, Ester Malleko ambaye alitaka kujua mpango wa Serikali wa kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora na kupata masoko ya uhakika. Akijibu swalin hilo, Kigahe…

Read More

Huduma ya maji yarejeshwa Hanang, wakazi 26,900 kunufaika

Hanang. Baada ya uharibifu wa miundombinu ya maji Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliosababishwa na maporomoko ya udongo, Shirika la WaterAid Tanzania limekarabati chanzo cha maji cha Nangwa kinachotegemewa na wananchi 26,900. Desemba 3, 2023, yalitokea mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyoambatana na mawe, magogo na maji kutoka Mlima Hanang na kusababisha vifo vya watu…

Read More

Tanimu: Beki Ihefu aliyekipiga na Osimhen, Iwobi na Ihenacho

Wiki chache zilizopita bendera ya Tanzania ilipepea huko Nigeria kwa mchezaji wa Ligi Kuu Bara, Benjamin Tanimu kutoka Ihefu (Singida Black Stars) kuitwa na kucheza katika kikosi cha Super Eagles kilichokuwa na mastaa kama vile Nathan Tella (Bayer Leverkusen), Victor Osimhen (Napoli), Kelechi Iheanacho (Leicester City) na Alex Iwobi (Fulham FC). Tanimu ambaye ni beki…

Read More

Kizungumkuti ununuzi magari ya ma-RC, DC

Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi),  ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari ya viongozi wa mikoa na wilaya, suala hilo limeibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, wengine wakiona ni mwendelezo wa matumizi mabaya ya fedha za umma. Kwa upande mwingine, baadhi ya…

Read More

Sunzu, Maftah watia neno Derby

MASTAA wa zamani wa Simba na Yanga, Felix Sunzu na Amir Maftah wametofautiana mitazamo kuhusu mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa Jumamosi ya Aprili 20 kuanzia saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ambao mzunguko wa kwanza Yanga ilishinda kwa mabao 5-1. Sunzu raia wa Zambia aliyekuwa mmoja ya wafungaji wakati…

Read More

BoT kutoa elimu ya fedha shuleni

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imedhamiria kutoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya elimu msingi hadi vyuo vikuu kuwawezesha vijana kuwa na uwezo wa nidhamu ya kusimamia fedha. Hayo amesemwa leo Aprili 17, 2024 jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga wakati…

Read More