
Namungo inaendelea kujifua Dodoma | Mwanaspoti
NAMUNGO FC inaendelea kujifua katika kambi iliyopiga jijini Dodoma kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, huku ikiwa na matarajio ya kucheza mechi mbalimbali za kirafiki. Katibu wa Namungo, Ally Seleman alisema timu ilianza mazoezi Jumatatu wiki hii chini ya kocha msaidizi Ngawina Ngawina, kisha baada ya siku tatu wataanza kucheza mechi za kirafiki….