SERIKALI KUJENGA MAKUMBUSHO YA MARAIS JIJINI DODOMA
Na Mwandishi wetu, Dodoma Serikali imetangaza kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika jiji la Dodoma ili kuhifadhi historia ya waasisi na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania. Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ameyasema hayo bungeni leo wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Mhe….