Tanzania lango la kupitisha kemikali hatarishi ya Ammonium Nitrate
Dar es Salaam. Mkemia Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Dk Fidelice Mafumiko amesema uwepo wa mwongozo wa usimamizi kemikali hatarishi aina ya Ammonium Nitrate utasaidia biashara ya kemikali hiyo kuwa endelevu. Amesema uwepo wa mwongozo huo ni dhamira ya Serikali kuhakikisha kemikali hatarishi inayoingizwa nchini haileti madhara kwa wananchi….