Ndege zafanya safari za Dubai zikiwa tupu, sababu yatajwa
Safari za ndege kuelekea Dubai zimeonekana zikiwa na safu za viti tupu huku hofu kuhusu usalama wa safari za anga ikiongezeka kufuatia vita vya Iran. Kwa mujibu wa gazeti la Wall Street Journal, takribani ndege 39 za abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai zilikuwa zimetua au kuondoka ndani ya dakika tano tu…