Muhudumu asimulia tukio la mtu kuuawa kwa kukatwa wembe, gesti
Shinyanga. Muhudumu wa gesti, Consolatha Jacob amesimulia tukio la mteja wake kuuawa kwa kukatwa wembe siku ya Agosti 23, 2025 ambapo alishuhudia mtu huyo akitokwa damu nyingi akiwa amelala kifudifudi. Akizungumza na Mwananchi leo Agosti 26, 2025 katika eneo la tukio ambapo ni gesti ya Bwashee iliyopo Mtaa wa Mwabundu, Kata ya Ndala Halmashauri ya…