Chino kuizindua Sumu EP nyumbani kwao Ifakara Morogoro
Siku ya leo msanii Chinno ametangaza kurejea nyumbani kwao Ifakara Morogoro ambapo atarejea maalum kwaajili ya uzinduzi EP yake ambayo ameipa jina la Sumu ambayo itakua na jumla ya nyimbo sita pamoja na bonus track Chinno amesema hatoenda peke ake Morogoro anatarajia uwepo wa wasanii wakubwa ambao ni kaka zake akiwemo Marioo kwenda kumsupport kwani…