DC ampongeza Dk. Rose Rwakatare kwa kusaidia waathirika wa mafuriko Mlimba
MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare ametoa msaada wa tani tano za mchele kwa waathirika wa mafuriko wa jimbo la Mlimba mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Alikabidhi msaada huo leo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyoba katika hafla ambayo imefanyika ofisini kwake mkoani Morogoro. Akizungumza mara baada ya kukabidhi…