WAZIRI MKUU AAGIZA TAARIFA MAALUM YA UDHIBITI WA UVUVI HARAMU
*Azindua boti ya doria kukabiliana na uhalifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi haijawasilisha hotuba ya bajeti ya mwaka 2024/2025. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Aprili 21, 2024) katika hafla ya uzinduzi wa boti maalum kwa ajili ya kukabiliana…