Dk Kimbokota: ‘Msijisahau, Ukimwi bado Upo’
Iringa. Naibu Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (Muce), Dk Fikira Kimbokota amesema Ukimwi bado upo na kuwakumbusha wasomi kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya. Amesema Muce imekuwa ikitenga bajeti kila mwaka kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo ili kudhibiti maambukizi mapya. Akizungumza na Mwananchi baada ya mafunzo kwa wahadhiri, wanafunzi…