
Pingamizi Mwakinyo latupiliwa mbali | Mwanaspoti
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika kesi ya madai inayomkabili dhidi ya Kampuni ya Promosheni ya Ngumi za Kulipwa, Paf Promotion. Pingamizi hilo lililosikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Amiri Msumi lilitupiliwa …