Pacome aiwahi Kaizer Chiefs Sauzi
KAMA ambavyo awali Mwanaspotui liliwajulisha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua alipewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini Afrika Kusini, taarifa zikufikie nyota huyo tayari ameshatua huko na keshokutwa huenda akacheza dhidi ya Kaizer Chiefs. Awali Mwanaspoti lilipata taarifa, huenda Pacome angekuja moja kwa moja jijini Dar es Salaam kutoka…