Dira ya 2050 ndani ya jicho la wadau wa elimu
Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wameendelea kuitazama Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 kwa jicho la matumaini makubwa, hasa katika nguzo ya pili inayohusu “Uwezo wa Watu na Maendeleo ya Jamii”. Kwa mujibu wa dira hiyo, elimu ni injini kuu ya maendeleo ya watu na jamii, na hivyo uwekezaji wake unaelekezwa katika…