Matola afichua ugumu wa kuikabili Namungo

LICHA ya Simba kutopoteza mechi yoyote ya Ligi Kuu Bara mbele ya Namungo, lakini Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema hawatarajii kuwa na mechi nyepesi kutokana na aina ya timu wanayokwenda kukutana nayo ikiwa na kocha Juma Mgunda anayeifahamu Simba. Matola ambaye amekabidhiwa jukumu la kukiongoza kikosi cha Simba baada ya kuondoka kwa Fadlu Davids, amesema…

Read More

SERIKALI IMEOMBWA KUSIMAMIA UTOAJI MIKOPO YA HALMASHAURI

  Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Kimaro, akimkabidhi Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Vikundi vya Huduma Ndogo za Fedha Wilaya ya Liwale, Bw. Obadia Anania, flash ya filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba, uwekezaji walizofundishwa wananchi wa Wilaya ya Liwale…

Read More

Fainali FA Zazibar, Mzize, Sopu kazi ipo

ILE vita iliyokuwapo katika Ligi Kuu Bara iliyomalizika mapema wiki hii katika mbio za Mfungaji Bora inajirudia tena Zanzibar katika fainali ya Kombe la Shirikisho (FA). Katika Ligi Kuu Bara kulikuwa na vita ya nyota wa Yanga na Azam, Stephane Aziz KI (Yanga) na Feisal Salum ‘Fei Toto’ (Azam FC) kila mmoja akitokwa jasho na…

Read More

Kinachosababisha vuta nikuvute kati ya wazazi na watoto

Kila mtoto anapozaliwa anakuwa na kipaji alichopewa na Mungu. Kimakuzi, vipaji hivyo huanza kuonekana mtoto akiwa mdogo na ndio maana wataalamu wanapendekeza wazazi kuanza kuchunguza vipaji vya watoto katika umri huo. Ukifuatilia historia za baadhi ya watu maarufu duniani, utagundua kuwa wengi walionyesha mwelekeo wa hicho wanachokifanya sasa tangu wakiwa na umri chini ya miaka…

Read More

Askofu Gwajima: Nitaendelea kubaki CCM ila sitaogopa

Dar es Salaam. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema yeye ataendelea kuwa mwanachama wa chama hicho na wala hana mpango wa kukihama. Askofu Gwajima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe (CCM) anayemaliza muda wake, amesema hayo leo Jumatano, Julai 16, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala…

Read More