12 mbaroni tuhuma za kujeruhi, kupora Sh20 milioni Same
Same. Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu 12 kwa tuhuma za kumjeruhi na kumpora Sh20 milioni, mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Yusto Mapande. Tukio la kujeruhiwa kwa mwenyekiti huyo lilitokea Agosti 21, 2025 wakati akingia nyumbani kwake baada ya kutoka kwenye shughuli zake za biashara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon…