EU yaweka mkakati kuinua kilimo Tanzania

Moshi. Umoja wa Ulaya (EU) umeanzisha mpango maalumu wa kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania katika sekta ya kilimo, ukiweka msisitizo kwenye maendeleo endelevu ya kidijitali, mabadiliko ya tabianchi na kuongeza thamani ya mazao ya bustani na kilimo ikolojia. Kupitia mpango huo, EU itashirikiana na Serikali ya Tanzania pamoja na wadau mbalimbali kutathmini fursa za uwekezaji…

Read More

Samia aahidi makubwa Pangani, akimsifu Aweso

Tanga. Mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema mgombea ubunge wa jimbo la Pangani Jumaa Aweso amefanya kazi kubwa iliyofanya upatikanaji wa maji kufikia asilimia 85. Amesema katika kipindi kijacho cha miaka mitano mpango wa Serikali ni kuhakikisha inamaliza changamoto ya maji kwenye maeneo yote yaliyosalia ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata maji safi na…

Read More

Sakata La Muuguzi Kibondo Mganga Mkuu Wa Serikali Atoa Tamko – Global Publishers

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa na nia ovu ya kuichonganisha Serikali na wananchi. Dkt. Magembe ametoa ufafanuzi huo…

Read More

Tishio jipya wizi mita, koki za maji

Dar es Salaam. Wimbi la wizi wa mita na koki za maji limezidi kuwa kero, likiathiri upatikanaji wa huduma kwa mamia ya wananchi na kusababisha upotevu mkubwa wa mapato kwa mamlaka za maji. Uhalifu huo unatajwa kuchangiwa na wauza vyuma chakavu na mafundi wanaotengeneza mapambo au vifaa vya matumizi ya nyumbani kwa kutumia miundombinu hiyo…

Read More

Watafiti wabaini aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee

Morogoro. Wataalamu na watafiti wa uyoga pori, wamesema tafiti mbalimbali zilizofanywa zimebaini kuwepo kwa aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee, hali inayoiweka nchi katika nafasi nzuri ya kukuza zao hilo katika soko la kimataifa. Sambamba na hilo, wamesema wameanza mkakati wa kuongeza tafiti za kisayansi ili kuimarisha uzalishaji wa zao hilo kibiashara na kulipendekeza…

Read More

DKT. SERERA AVUTIWA NA USHIRIKI WA NEMC KWENYE MAONESHO YA IATF

Naibu Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa namna ambavyo linatoa elimu kwa wadau mbalimbali wakiwemo wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Barani Afrika yanayotambulika kama Intra African Trade Fair (IATF) yanayoendelea jijini Algiers nchini…

Read More