Dube kaingia anacheka, katoka amenuna TFF
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa kutoka Zimbabwe, Prince Dube aliyeonekana kuwa na tabasamu usoni shauri lake dhidi ya waajiri wake limesikilizwa leo, Alhamisi na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jijini Dar es Salaam kwa muda wa saa mbili na dakika tatu. Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya…