Askofu mstaafu KKKT Kaskazini, Dk Shao afariki dunia
Moshi. Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Martin Shao amefariki dunia leo Jumatatu, Agosti 25, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya kaskazini (KCMC), Mjini Moshi. Dk Shao amehudumu kama Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini kuanzia mwaka 2004 hadi 2014 alipostaafu na…